Posted by: dominicmuia on: November 15, 2008
Umasikini wazidi kuangamiza watu kila kuchao.Inchi Kenya, huwa ni inchi nzuri yenye umoja na amani isipokua huwa na masikini wengi wasio jiweza kimaisha.
Unapo angalia vile watu wanavyo ishi wanaonesha yakwamba umasikini umewazidi ukiangalia mavazi wamerarukiwa na hawana yeyote wa kumtegemea ila tu wao wenyewe.
Hunapo waona watu wengine wanao jiweza utadhania inchi hii yetu masikini hawepo lakini utakapo pitia walipo dipo utajua na utakavyo jionea walivyo zidiwa na kuangaika.
Ningependa serikali ijaribu juu chini iwezavyo iwasaidie masikini ili humasikini inchini ipungue kiasi ili watu waishi kwenye maisha sio ya kudhoofika kuangamia kwa umasikini kama inchi isio na serikali.
Unapo angalia pande za mashambani watu wa dhoofika kwa njaa, kwa sababu ya kutokana na kiangazi kikali kwa kutokana na ukosefu wa mvua Ningependa serikali iyeleze umuhimuwa kupandwa miti inchini ili mvua inyeshe ipasavyo ili baa la njaa ipunguke.
Watu wengi wanakufa kwa njaa serikali iwashugulikie watakavyo pata misaada ya vyakula ili watu waache kufa kwa njaa, ni vizuri kushugulikia jirani yako kwani sisi wote taifa ni moja yenye amani na upendo isipokua upande wa kusaidiana akuna upendo uliopo kwa sababu kila mtu husibisha tumbo yake mwenyewe.
Translation
Born To Suffer
Poverty is still continuing to destroy many people every day. Kenya is a good country which is united and has peace but many people leave beyond poverty line that makes them not to be able to be stable.
If you look how people leave they show that poverty is still continuing to destroy them, if you look the way they dress their clothes are teared and they do not have some to help them but only themselve.
When you look at those people who are stable you will think that there are no people who live beyond poverty line but if you pass where they live you will see how they are and how they are suffering.
I would like the government to try and help those people who live beyond poverty line so that it can decrease, this will make them not to live in poverty line. If you look in the rural areas many people are suffering from hunger because of lack of rain, the government should tell people the importance of planting trees so that the trees will attract rain and the hunger will reduce.
Many people are dying because of hunger, the government should help them to get basic needs so that they can survive, you should help your neighbor because all of us we live in peace and love but when we come to help everyone takes his own way.