BORN IN THE GHETTO

Maisha Yangu Hapo Mwanzo

Posted on: July 10, 2008

Nilipo kuwa mdogo nikishi na wazazi wangu nyumbani, nilikuwa ninaishi vizuri sana maisha ya kuvutia. Nilipo fika umri wa kwenda shule nilienda shuleni. Nilipo pelekwa shuleni nilijua kusoma na kuandika.

Niliaanza kujua dunia ni nini, akili zangu ilinidanganya nikatoroka nyumbani na kuacha shule na kuelekea kwenye maisha mabaya ya kuishi inje, na kulala pia. Nikaanza kuokata kwa pipa mavazi yakaniishia, chakula pia ikawa nishida, kulala nilikula ninalala kwa pipa na pia kuoga sikuwa ninaweza kuoga, kwa sababu sikuwa na haja ya kuoga. Nilikuwa nikitumia vitu vingi haina baya za kulevya. Nilipo kuwa ninaendelea na hayo maisha nilipatana na kijana mmoja ambaye nilikuwa nikisoma na ndugu yake nilipo kuwa shuleni. Alipo niona akalinganisha alivyo kuwa akiniona na nduguye. Aliniambia mimi nimepotea alienda kwao akaniletea mavazi nika badsilisha, nilioga pia nilikaa na kufikiria haya ni maisha gaini ninayoishi.

Nikaanza kuchukua mwelekeo mwingine. Nikaacha kulala kwa pipa, pia nikaacha kutumia vitu mbaya haina ya ulevi. Kuoga pia nikawa ninaoga kila siku, huyo nduguye rafiki akaniambia wakati wakulala ikifika niende kwao tulale chumba ambacho yeye hulala, nilifanya hivyo kama miezi mitano hivi. Nikafanya ujanja ya kusaka pesa, nikapata mavazi ninajinulia, chakula pia ninajitegemea nikaendelea kujizoesha kuishi kama mtu anaye jielewa kujimudu pia.

Lakini kutoka nianze haya maisha hadi nije kuyaacha, nilikuwa nimepitia mengi mno yasiyo sawa lakini. Mungu akanisaidia na kunitoa huko kwa wapotevu, kile ambacho ningeweza kuwaambi ni yakwamba hayo yote ni majaribio ya dunia. Vijana ambao mna soma huko nyumbani kwenu, someni kwa bidii msiache shule. Maisha ni ya kubahatisha. Pia utapata umejitumbukiza kule ambako haungekuweko. Mimi nilibahatika mungu akanitoa huko, nilikuwa nimepoteza mwelekeo wa maisha yangu kabisa. Langu ni kwamba vijana mnao soma, someni kwa bidii mmalize masomo ili iwasaidie maisha yenyu ya baadaye mtakapokuwa.


Msione vijana wadogo wako na pesa, wanajitafutia. Pia nyinyi muanze kujitafutia, hao ni wale ambao walioshindwa na masomo na kutoroka makwao. Badaye maisha yao yanaweza kuanza kuenda mrama. Pia usione mtu ambaye anatafuta pesa na ukimwangalia ana umri mdogo zaidi, jua huyo alitoroka nyumbani na akaacha shule.

Translation

My Past Life

When I was young, I was living with my parents and I had a good life, and even went to school where I learned how to read and write.

When I ran away from home and school, I went to the streets. I started sleeping outside and scavenging because I had no food and even no clothes. I also used to use different kinds of drugs. While on the streets, I met my schoolmate’s brother who was very surprised because he compared how he used to see me with his brother and the way I was looking now. He went and brought me some clothes and I changed into them.

I took a complete turn. I was not sleeping outside anymore, I was not taking drugs, and I started washing myself. That friend invited me to sleep in his home for the duration of five months. I stole money to buy food and clothes for myself and to keep me going.

Since I started this street life, I have gone through many bad things, but God helped me to come out from this bad life. What I would like to tell others is that those experiences were just earthly trials. Those boys who are studying at their homes should study hard and not drop out of school. Life is hard. When you see me, you will see that I have completely lost direction in my life. I want to tell you boys who are studying to study hard so that education can help you in the future.

When you see young boys with money, they work for it. So for you, start working. Those are the ones who are unable to complete their education and who ran away from home. In the future, their lives can turn bad. So when you see someone who is looking for money and see that they are young, you know immediately that they ran away from home and stopped going to school.

Advertisements

4 Responses to "Maisha Yangu Hapo Mwanzo"

Dominic, These pictures say allot about what has happen over there. Pictures speak louder then words. Look forward to your next set of pictures.
Debby R

Your title “Poverty” pictures/blog are moving and speak for themselves. Although I can’t read your blog just yet, I get the point. Keep up the artistic story telling.

Dominic…This blog entry is worthy of a much greater audience.
I have a kenyan(Nairobi) friend,who is a writer and poet and also a translator of Eng/ swahili.
I would love to get this written up and published in English and then posted
to various World net programms..I believe your insight and descriptive outlines would achieve greater reaction from many areas and would stir some reaction.
Super job mate
Congratulations
Billy

Dominic, ulipotoka ni mbali, na umepitia mengi. Lakini wewe ni mfano mzurisana kwa wengi hapa nje…..kuwa mazuri yanaweza kutendeka kwa yeyote, bora asikufe moyo. Mungu azidi kukubariki.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

My Photos

Advertisements
%d bloggers like this: