BORN IN THE GHETTO

About

Jina langu ninaitwa Dominic Muia kutoka mtaa wa pumwani niko na jhabari yangu kuniusu vile nilivyo sasa wakati huu.mimi nina umri wa miaka ishirini kutoka nizaliwe na mama yangu. Nilizaliwa mtaa wa pumwanimaka wa 1988. Nikalelewa hapo na wazazi wangu mama na baba. Nilipo kuwa na umri wamiaka mitano. Baba yangu alikanyangwa na gari akitoka kazini. Na kuaga dunia.nilibaki na mama yangu pamoja na ndugu zangu.

Tumezaliwa tukiwa sita wakubwa wangu ni watatu mimi diye wa nne nanyuma yangu ni wawili.wakubwa wangu walipo ona baba hayupo tena.naniyeye aliye kuwa tegemeo. Waliacha shule na kuanza kujitafutia. Na mmoja wao akaenda mashabani kuishi na babu.wakati huo nami nikapelekwa shule. Nikasoma hadi darasa la saba nilipo kua nikisoma akuna kitu chochote nilicho kosanilikua nimerithika namavazi, chakula na mambo mengine hayanaesabu.

Nilipo kuwa darasa la saba hapo dipo niliachia shule.nilipo kuwa niko nyumbani wadogo wangu wakienda shuleni nilikuwa ninabaki nyumbani na baadaye ninaenda zangu. Jioni ikifika ninarejea nyumbani. Nilifanya siku mbili mama akaniambia kama siendi shule atanipeleka polisi nilipo sikia hivyo nilitoroka na kuenda kuishi na vijana wanao zurura mitaani.

Wakati nilipo acha shule hilikua ni mwaka wa 1999 dungu zangu wadogo walikua wakiniabia nirudi shule niache kukataa masomo niliwapuhuza sasa hivi maisha yangu simazuri vile yangepaswa kuwa ningelisoma kwa bidii. Ndugu zangu sasa hivi wako shuleni wakisomo tena kwa bidii hili wavune matunda ya masomo yao walipohona nimektaa shule dipo nao bidii hiliwapanda wakahamua watasoma kwabidii.

Kile ambacho ningelitaka kuwambia wanafunzi mnao soma someni kwa bidii hili mfaidike na masomo yenyu. Watu wengi walio kataa masomo na wanaona waishi vizuri baadaye ni thiki shida na mateso husio teswa na mtu wewe mwenyewe vile ulivyo kataamasomo majuto nikwako peke yako. Ninataka ujue yakwamba maisha siku hizi bila elimu ni kubahatisha.

Sasa hivi mimi nina kula za jasho tena mno nisipo enda kutafuta kazi nitaishi njaa.Wasomi nao wako maofisini wanafanya kazi zaofisi kazi zisizo fanywa kwa nguvu. Hau kutumia nguvu kwa sababu walisoma kwa bidii na kutilia masomo maanani nyinyi mnao soma someni kwabidii. Elimu ndio ufunguo wa maisha siku hizi utasoma wakati huuhukisha maliza masomo mavuno yake utayapata utakapo kuwa mkubwa. Elimu yako itakusaidia nautakapo kuwa mkongwe pia wakati wauzeeni. Elimu yako itakufanya ueshimiwe pia mambo ya dunia utakua unaelewa kinacho endelea ukitazama tv usikize radio usome gazeti hayo yote na pia mengine mengi zaidi yanaitaji masomo.

Translation

My name is Dominic Muia and I am from Pumwani. I have a message for you about the way I am right now. I have 20 years since I was born by my mother. I was born in Pumwani in 1988. I was brought up by my mother and my father. When I was 5 years old, my father was hit by a car when he was coming home from work and he passed away. I was left with my mother and my brothers.

There are six children in my family, with me being the fourth born. After my father died, my older brothers dropped out of school to look for money. One of them went to the country to stay with my grandfather. At that time, I was taken to school. I studied up to Standard 7 (until I was 13). When I was studying, I had everything I needed like clothes, food, and other things I needed.

When I was in Standard 7, I dropped out of school. After that, my younger siblings were going to school and I did my own things during the day. Come evening, I would return home. When my mother found out that I was not going to school, she told me that she would take me to the police. When I heard this from my mother, I ran away from home and went to stay with the children on the streets.

After I dropped out of school in 1999, my brothers told me to go back to school. Since I did not take the advice of my brothers, my life now is hard. If I had taken their advice, I would have studied hard and my life would not be hard. Now my brothers are still at school studying hard so that they can gain the fruits of their education. When they saw me leave school, they decided to work hard.

My advice for those who are in school is to study hard. For those who refuse, their lives are hard, they have problems and trials. You alone face the consequences. I want you to know that life nowadays without education is hard.

Right now, I am eating my sweat. If I don’t go to find a job, I stay hungry. Those who went to school are working hard in their offices. For those in the offices, they worked hard with their studies. So for those of you who are studying, work hard. Education is the key nowadays. If you study hard, you’ll get the fruits later when you’re employed. Your education will help you even when you are old. Education will get you respect and you will understand things going on around the world when watching TV, listening to the radio, reading the newspaper and many more concerning education.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

My Photos

Advertisements
%d bloggers like this: